Alhamisi, 19 Desemba 2013

"Hallow Dada Dinah!
         
         Pole sana kwa majukumu uliyonayo hasa katika kipindi chako kinacho elimisha na kutufundisha juu ya kutunza familia.
       Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 25,nimeoa na nina mtoto mmoja .Tungu amezaliwa sasa ana umri wa miezi mitano ila cha kunishangaza haongezeki uzito zaidi ya kilo 4.7.Dada Dinah niomba unijuze nini hasa chanzo cha kutoongezeka uzito.Pia ningependa kujua je? kuna madhara yoyote kungonoka wakata mama ananyonyesha mtoto mwenye umri chini ya miezi 3? .Nitafurahi sana nikipata majibu Dada yangu kwani limesha kuwa tatizo kwangu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni